ANGA ZA KIMATAIFA

Pages

▼

Friday, January 10, 2014

Copa Del Rey: Madrid yashinda 2-0 dhidi ya Osasuna.

461457113ga004_real_madrid__crop_north
Madrid, Hispania, 
Karim Benzema na Jese Rodriguez waliifungia Real Madrid Hapo jana na kuipa ushindi wa bao 2-0 dhidi Osasuna katika mechi ya kwanza ya Copa Del Rey raundi ya 16.

Benzema ndiye aliyekuwa wa kwanza kuifungia Real Madrid dakika ya 19 kupitia mpira wa kichwa, wakati Jese alihitimisha ushindi huo kwa bao la pili baada ya uzembe wa mabeki.
Ushindi huo umeipa faida Real Madrid katika mechi ya marudiano ambayo itapigwa Jumatano Ijayo
 

. at 12:17 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.