Thursday, June 6, 2013

MAPOKEZI NA MAANDALIZI YA KUAGWA MWILI WA MANGWAIR MOROGORO-PICHA.

MAPOKEZI YA MWILI WA MANGWAIR MOROGORO
m
Msafara wa kupokea mwili wa msanii marehemu Albert Mangwea ukiwa unaingia morogoro hapa ni eneo la nane nane,Umati mkubwa umejitokeza katika mapokezi hayo jioni ya leo









PICHA ZIFUATAZO ZINAONESHA MAANDALIZI YA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO UKIWA KATIKA MAANDALIZI YA KUUAGA MWILI WA MPENDWA WETU MANGWAIR.

No comments:

Post a Comment