Marekani hata hivyo bado inapinga Kuwapa silaha wapinzani wa Syria pendekezo kutoka kwa baadhi ya nchi za Ghuba huku ikisisitiz umuhimu wa kuyaunganisha makundi ya upinzani na kuhakikisha huduma za kibinadamu zinatolewa nchini Syria.

Mgogoro nchini Syria umefikia kipindi cha mwaka mmoja sasa huku juhudi za kimataifa zikishindwa na kutawaliwa na Upinzani kati ya nchi za Kiamgharibi  dhidi ya urusi na China.