Wednesday, April 17, 2013

BI.KIDUDE AFARIKI DUNIA


ZANZIBAR-TANZANIA,
 Fatuma binti Baraka almaarufu kama Bi Kidude amefariki dunia mapema leo mjini Zanzibar.Bi kidude anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 116,alizaliwa katika kijiji cha Mfagimaringo huku zanzibar na alikuwa ni moja ya wakongwe wa muziki wa taarabu waliotamba tangu enzi za ujana mpaka uzee wake akijinyakulia tuzo mbali mbali zikiwemo Prestigious WOMEX award.

MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI--AMEN!

No comments:

Post a Comment