Saturday, July 28, 2012

UFUNGUZI WA OLYMPIC WAFANA LONDON.


Vijana saba wakiwasha moto wa Olympic.
Add caption

mafataki yakipigwa hapo jana.

Moja ya michezo ya kuigiza
Moja ya washiriki wa Maonesho hayo.






Mr.Bean Naye alikuwepo!
Moja ya Michezo ya kuigiza hapo jana.      
http://s1.reutersmedia.net/resources/r/?m=02&d=20120728&t=2&i=635285881&w=&fh=&fw=&ll=700&pl=390&r=2012-07-28T021058Z_15_GM1E87S0AOR01_RTRRPP_0_OLY-PARK-DAY0
Mishale yenye rangi za bendera ya England ikirushwa juu kupita Uwanja wa Olympic.
http://s1.reutersmedia.net/resources/r/?m=02&d=20120728&t=2&i=635285859&w=&fh=&fw=&ll=700&pl=390&r=2012-07-28T021058Z_15_LM2E87R1HQ028_RTRRPP_0_OLY-OPEN-CEREMONY-DAY0-ACT1
Moja ya mandhari nzuri ya igizo hapo jana kuonesha Uingereza ya karne ya 17 kabla ya mapinduzi ya viwanda.

http://s1.reutersmedia.net/resources/r/?m=02&d=20120728&t=2&i=635285911&w=&fh=&fw=&ll=700&pl=390&r=2012-07-28T021058Z_15_LM2E87R1U5JKW_RTRRPP_0_OLY-OPEN-CEREMONY-DAY0-ACT1
Waigizaji hapo jana.





http://s2.reutersmedia.net/resources/r/?m=02&d=20120728&t=2&i=635285882&w=&fh=&fw=&ll=700&pl=390&r=2012-07-28T021058Z_15_GF2E87S00F501_RTRRPP_0_OLY-OPEN-CEREMONY-DAY0-ACT3
Mafataki yakipigwa ndani ya uwanja.


http://london-games.reuters.com/london-olympics-2012/files/styles/article_large_landscape/public/photo_item/OLY-OPEN-CEREMONY-DAY0/ACT3/0/2012-07-28T002450Z_1560840710_LM2E87S0153WV_RTRMADP_3_OLY-OPEN-CEREMONY-DAY0-ACT3.JPG
Moto wa Olympic baada ya kuwashwa hapo jana.

Mandhari ya uwanja hapo jana.
http://www4.pictures.zimbio.com/gi/Michelle+Obama+2012+Olympic+Games+Opening+2R45-1hPstbl.jpg
Michelle Obama akifuatilia sherehe hizo.

LONDON,
Malkia elizabeth akifungua mashindano ya Olympic hapo jana
Ni mafataki, ngoma, mandhari za kuvutia zenye kuonesha historia na tamaduni za Uingereza  na shamrashamra za kila namnaa wakati Michezo ya olympic kwa mwaka 2012 yenye ujumbe 'Hamasisha Kizazi' ilipofunguliwa rasmi hapo Jana.
Vijana saba wa umri wa miaka chini ya ishirini jana waliongoza tukio la kuwasha moto wa Olympic  na kufuatiwa na mafataki makubwa kusherehesha ufunguzi huo.

Tofauti na mashindano mengine uwashaji wa moto wa Olympic mwaka huu umeongozwa na vijana wadogo wasiofahamika badala ya wanamichezo maarufu kama ilivyozoeleka.Mgeni rasmi na mfunguaji wa michezo hiyo alikuwa ni Malkia Elizabeth (86)akiwa na mgeni wake mashuhuri mke wa rais wa Marekani Michelle Obama ."Natangaza ufunguzi rasmi wa michezo ya 30 ya Olympic" Alisikika na kufuatiwa na upigaji wa mafataki na kushangiliwa.

Sherehe hizo zimeashiria mwanzo wa siku 16 za michezo ya olympic ambayo itahusisha wanamichezo zaidi ya 16,000 kutoka nchi 204 duniani kote.




No comments:

Post a Comment