hatimayeserikali ya Syria imesalimu amri na kuyaruhusu mashirika ya kutoa misaada kuanza shughuli zao katika mikoa minne ya Homs, Idlib, Deraa na Deir al-Zour iliyopatwa na mapigano makubwa kati ya majeshi ya Serikali na Waasi.Afisa huyo alisema kuwa suala hilo litakuwa ni kipimo kikubwa cha Syria kwa jumuiya ya kimataifa kama ina nia nzuri na wananchi wake.
No comments:
Post a Comment