Sunday, December 9, 2012

SIKUKUU YA MIAKA 51 YA UHURU WA TANGANYIKA -MATUKIO KATIKA PICHA

DAR ES SALAAM-TANZANIA,
Leo Tanzania tumeadhimisha miaka 51 ya uhuru wa Tanganyika tulioupata mnamo mwaka 1961 kutoka kwa waingereza,sherehe za kuadhimisha uhuru zimefanyika jijini Dar es Salaam katika uwanja wa Uhuru na zimeongozwa na Amiri jeshi mkuu na rais wa jamhuri ya Muunganio wa Tanzania Dk.jakaya mrisho kikwete,zifuatazo ni baadhi ya picha ya yale yaliyojiri.

Amiri jeshi mkuu na rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr.Jakaya Mrisho Kikweteakiwasili katika gari maalum.

Kikosi cha ardhini cha JWTZ
Kikosi cha ardhini cha JWTZ kikitoa salamu za heshima kwa amiri jeshi mkuu.


Brass Band ya vikosi vya ulinzi na usalama
Watoto chipukizi .

Amiri jeshi mkuu akikagua vikosi.

No comments:

Post a Comment