Monday, March 4, 2013

Uchaguzi Kenya-Picha za Matukio

Wamasai wakitoka kupiga kura huko Ilngarooj, Kajiado kusini mwa kenya eneo linaloitwa  Maasailand
Mwanamke wa kimasai akipiga kura
Wakenya wakiwa katika mstari wa kupiga kura huko Kisumu Kenya.
Wapiga kura huko Dandora-Kenya
                                                                 Mpiga kura akipiga kura leo huko Kakamega

1 comment: